Mwanajeshi wa Uganda ni mmoja wa wanajeshi wa AMISOM |
Serikali ya Uingereza kwa mara ya kwanza imethibitisha kuwa ina kikosi maalum cha jeshi ndani ya Somalia.
Kundi la al-Shabab ambalo mapema mwaka huu lilijiunga na al-Qaeda linadhibiti maeneo mengi nchi Somalia. Mengi ya maeneo hayo yako Kusini na katikati mwa Somalia.
Hata hivuo Al shabaab kwa wakati huu wamebanwa kutoka pande zote.
BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment